KWA JAMII ZETU, TANZANIA
Mtaa wako. Taarifa zako. Pamoja.
Njia rahisi ya kupokea taarifa muhimu kutoka kwa uongozi wa mtaa wako kupitia SMS. Bila programu ya simu. Bila intaneti kupokea SMS.
Jisajili Mtaa ConnectJinsi itakavyofanya kazi ↓Mawasiliano rahisi kwa kila mkazi
Fuata hatua hizi kujiunga na kupokea taarifa muhimu za mtaa wako.
- 1
Chagua mtaa wako
Tambua mkoa, wilaya, kata, mtaa na eneo lako la Balozi.
- 2
Kamilisha usajili
Weka jina na namba ya simu, toa ridhaa na fuata hatua za uthibitisho wa mtaa wako.
- 3
Pokea taarifa kwa SMS
Baada ya uthibitisho na malipo ya usajili, pokea taarifa muhimu kwenye simu yako.
Simu yako inatosha
Imeandaliwa kwa simu za kawaida na simu janja. Taarifa muhimu zitakufikia kupitia SMS.
Jina, namba ya simu na taarifa za usajili zitatumika kuwezesha mawasiliano ya mtaa wako. Maelezo ya matumizi na ridhaa yatatolewa wakati wa usajili.